Leeds vs Watford Leo. 13.3.2022

​LEED VS NORWICH

game inaisha droo    0..0 

   au 

leeds kushinda

 matokeo ya timu hizi mbili yamekua mabovu katika msimu huu wote


LEEDS..

tuanze kuitizama leeds na mechi ilizozicheza na matokeo yake katikamsimu huu


Tizama mechi za leeds hapo chini



leeds imekuwa na matokeo yasiyoridhisha saana ila katika mechi ya leo anakutana na timu isiyokuwa na matokeo mazuri pia hivyo tunaipa kipa umbele leeds katika mechi ya leo


NORWICH

....

katika msimu huu pia norwich haikuwa na matokeo mazuri pia kulinganisha na mpinzani wake kwa leo hapo chini ni mechi na matokeo ya Norwich kwa msimu huu tizama 




KICHWA KWA KICHWA H2H


Katika matokeo ya makutano ya timu hizi mara nyingi leeds ameonekana kuwa mmbabe mbele ya norwich  matokeo yao ya h2h


haya hapo juu


MSIMAMO


Katika msimamo  leeds anaonekana kuwa katika nafasi nzuri ki mchezo ile siyo nzuri kwa ligi inavyoenda na matokeo yake pia norwich ni hiyo pia nafasi yake ni mbaya zaidi ukilinganisha na leeds kwa msimu huu

hapo chini ni msimamo na nadmfasi ya timu hizi





Comments