Posts

Showing posts from April, 2022
Image
​ Sio kila spishi ina uwezo wa kucheka. Sokwe wanaweza kucheka. Wanasayansi hata wameza kubaini sauti kama ya kucheka kutoka kwa panya kwa kuwatekenya. Lakini ni binadamu na nyani wengine ambao wanachukuliwa kuwa pekee wenye uwezo wa kujibu kitu wanachokiona kwa kucheka. Ingawa ni ishara ya kuwa na wakati mzuri wa zamani, kucheka vizuri ni mojawapo ya mambo magumu zaidi ambayo miili yetu hutoa. Hii ndio sababu. Yote huanzia kwenye ubongo Hatuchagui kucheka. Hata kama umelipa ili kutazama vichekesho kutoka kwa mcheshi unayempenda, kwa hakika tunacheza k amari. Ikiwa tutacheka kwa mzaha wakati wa onesho, sio hiari, ni kulingana na jinsi ubongo wetu huchakata kile tunachoona na kusikia. Ni vigumu sana kuigiza kucheka au kulazimisha kucheka - jaribu mwenyewe. Haisikiki kuwa ya kweli, sivyo?
​https://trc.taboola.com/newscorpau-aud-newscomau/log/3/click?pi=%2Fsport%2Fsports-life%2Fbody-building-legend-cedric-mcmillan-dead-at-age-44%2Fnews-story%2Fadece0497492e79073a64f3c0c8b03df&ri=97bcdb5080bfc153f0eca6cf2c8f75d4&sd=v2_e437132e643b4109519696d048f78b2f_9012f80d-8b61-43e8-ae36-629cf3a49e64-tuct90a6624_1649930185_1649930185_CAwQru9HGIjNgryCMCABKAMw3QE4pt0NQIqfEEjbhtgDUP___________wFYAGCvAWiu3KSVzo6_iu0BcAE&ui=9012f80d-8b61-43e8-ae36-629cf3a49e64-tuct90a6624&it=text&ii=~~V1~~1227579325638447304~~i3YaQPs4n_T3DeafP9L_hnqXs-wPqN9cHgoAXZt5XrnTxvAnL2wqac4MyzR7uD46gj3kUkbS3FhelBtnsiJV6MhkDZRZzzIqDobN6rWmCPA3hYz5D3PLat6nhIftiT1lwdxwdlxkeV_Mfb3eos_TQavImGhxk0e7psNAZxHJ9RIzBC8nr0z12hiSGPC9ejfh2TeNkRUrhhz01lXm8YTtLPJpwqBWpKlES65QO1bsxZL5FxGQ4xos3Z-VFt1Wcp2VjxfAtsj75Zm6PzSBS4yNyd3WkhT22z-2tGiQiFNttdM&pt=text&li=rbox-t2v&sig=6a0e3ec6200229680eb6b85bb3c56fd2393d9232d1da&redir=https%3A%2F%2Fy-jesus.com%2Flp%2F0-real-jesus-ttn%2F%3Futm_source%3Dtaboola%26u...

Akatwa mguu kisa mapenzi

Image
​#MsasaUpdate AKATWA MGUU KWA SABABU YA MAPENZI  Kutoka kata ya Madilu, Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Kijana aitwae Benard Mkolwe amepigwa na kuvunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa akiwa na Sarah Mgohole (18) nyumbani kwao ambako alimfuata kwa lengo la kufanya mapenzi ikiwa ni siku yao ya kwanza tangu waanze uhusiano wiki mbili zilizopita. Kijana huyo amekiri kuwa na uhusiano na Msichana huyo ambaye sio Mke wa Mtu na wala hasomi na kudai kuwa mapenzi yao yalikuwa ya kuwasiliana kwa simu pekee na yana muda wa wiki mbili toka wayaanzishe ambapo siku ya tukio hilo ilikuwa ni siku yao ya kwanza kukutana kwa lengo la kufanya mapenzi. "Waliofanya tukio ni Baba zake wadogo wa yule Msichana yule Msichana na sijawahi kufanya kitu chochote kile tulikuwa ni marafiki wa kuchati na ile siku alivoniita nahisi ndio ilikuwa siku ya kuelekea kwenye tendo lakini sikufanya kitu chochote" Benard Mkolwe Kwa sasa Mkolwe anatibiwa katika hospitali ya St. John's ambapo Mkuu wa wilaya ya Lude...