Posts

Showing posts from March, 2022

Uhuni

Image
​kwa sasa ni kufanyiana uhuni tu tizama hii alafu tukizungumzia wataalamu wa mitandao na kazi zao ni kuwa na ulinzi ili kuzuia kutokea kwa ishu kama hizi this is cyber crime      unajua taasisi kubwa ya kifedha kutumiwa logo yake tofauti na kazi wanazoziendesha wao ni kutafuta kupoteza wateja  sijajua ni nani wahusika hasa katika hili kutumia logo ya kampuni kufanya ishu za kutaka kujaribu kuwaibia raia ni kosa kubwa sana  na wahuni wapo kusapoti hili    ok tuachane na hiyo taasisi naona kama serikali imeruhusu wananchi wake waibiwe hivi nimefikiria tu why pesa ya nchi itumike kufanya scam huu ni uhuni ulioruhusiwa na taasisi husika ..   kwa kujua mimi ninavyojua fedha ni moja ya viwakilishi vya taifa fulani now dai kila mahali unakuta picha ya fedha imetumika kutapeli watu some time vijana wengi ni jobless huitaji fedha kukidhi mahitaji yao au mitaji wapoona picha hizo wana deal moja kwamoja ili wapate kumbe ni upotezaji wa muda tu    O...

Paaaaaap......!!! Mzigo huo hapo

Image
​mzigo mpya kutoka katika maganda yake kuuza odds zisizo eleweka sitaki  ofa hii inakuja kwa wewe kushare tu hii blog mic daniel mdadavuzi wa timu mbalimbali nafanya haya kwa utukufu wa Mungu i know what i did natumia akili na bando share hii watu wapate ya mboga ya jioni ukiweka dau nono ushindi mnono ukiliwa usinijue saana  mimi sichezi ukipewa ongeza na zako 0748366111

WEKA BIASHARA YAKO YA KIMTANDAO IWE YA KUVUTIA WEKA LOGO YA KUELEWEKA

Image
​ YAH.. Tunacreate logo za staili tofauti tofauti tunakuuzia kwa bri sawa na buree kabisa pia tunafanya kazi za kucreate posti za kuvutia zitakazofanya eitha blog yako au kazi yako kuwa ya kifanisi na kuvutia zaidi       contact... 0748366111 0621335336 email Dullade8@gmail.com mic daniel

Hot.... Mpya

Image
​ hii hapa imeletwa kwenu na mimi mic danie 0716366110 toa  galatasaray kunusuru pesa yako nimemaliza like share

Uhakika 100%

Image
​BANDO LAKO PESA YAKO Unaona hii imepitia kwa madaktari wote wa kubeti ndiyo ikaja kwako   kama ilivyo fanya hivyo hivyo weka hata milioni usiwe mvivu kunifollow huwa naumiza kichwa kweli  fanya hivi follow page follow link kama una jambo la ziada ushauri  maoni mick daniel 0716366110 0748366111

Leeds vs Watford Leo. 13.3.2022

Image
​LEED VS NORWICH game inaisha droo    0..0     au  leeds kushinda  matokeo ya timu hizi mbili yamekua mabovu katika msimu huu wote LEEDS.. tuanze kuitizama leeds na mechi ilizozicheza na matokeo yake katikamsimu huu Tizama mechi za leeds hapo chini leeds imekuwa na matokeo yasiyoridhisha saana ila katika mechi ya leo anakutana na timu isiyokuwa na matokeo mazuri pia hivyo tunaipa kipa umbele leeds katika mechi ya leo NORWICH .... katika msimu huu pia norwich haikuwa na matokeo mazuri pia kulinganisha na mpinzani wake kwa leo hapo chini ni mechi na matokeo ya Norwich kwa msimu huu tizama  KICHWA KWA KICHWA H2H Katika matokeo ya makutano ya timu hizi mara nyingi leeds ameonekana kuwa mmbabe mbele ya norwich  matokeo yao ya h2h haya hapo juu MSIMAMO K atika msimamo  leeds anaonekana kuwa katika nafasi nzuri ki mchezo ile siyo nzuri kwa ligi inavyoenda na matokeo yake pia norwich ni hiyo pia nafasi yake ni mbaya zaidi ukilinganisha na leeds ...

Prediction Today13/3/2022

Image
FIORENTINA VS BOLOGNA ushindi....fiorentina predidton zinaonyesha kama ifuatavyo FIORENTINA kuna mechi alizocheza fiorentina na timu nyingine matokeo yalikuwa hivi tunaona katika record fiorentina ameshina mechi zake mbili za hivi karibuni ya mwisho kabisa ameshinda akiwa ugenini dhidi ya spezia BOLOGNA mechi za bolougna zilikuwa kama ifuatavyo ... pia bologna hakuwa na matokeo mazuuri sana tukiachilia mbali yale ya tar 6 .03.2022 dhidi ya spezia alipomfunga aliwa yeye yupo nyumbani H2H kichwa kwa kichwa imeonekana fiorentina amekuwa namatokeo mazuri zaidi kila wakutanapo na bologna kichwa kwa kichwa tizama hapo chini MSIMAMO... Katika msimamo wa ligi yao fiorentina amekonekana kuwa katika nafasi nzuri ukilinganisha na mpinzani wake   ambaye yupo katika nafasi katika msimamo fiorentina yupo nafasi nzuri kulinganisha na bolougna usiache kushare hii kulike pamoja na kucoment ili tujue wapi panahitaji marekebisho  published  by  mic daniel 0716366110