Prediction Today13/3/2022
FIORENTINA VS BOLOGNA
ushindi....fiorentina
predidton zinaonyesha kama ifuatavyo
FIORENTINA
kuna mechi alizocheza fiorentina na timu nyingine matokeo yalikuwa hivi
tunaona katika record fiorentina ameshina mechi zake mbili za hivi karibuni ya mwisho kabisa ameshinda akiwa ugenini dhidi ya spezia
BOLOGNA
mechi za bolougna zilikuwa kama ifuatavyo ...
pia bologna hakuwa na matokeo mazuuri sana tukiachilia mbali yale ya tar 6 .03.2022 dhidi ya spezia alipomfunga aliwa yeye yupo nyumbani
H2H
kichwa kwa kichwa imeonekana fiorentina amekuwa namatokeo mazuri zaidi kila wakutanapo na bologna
kichwa kwa kichwa tizama hapo chini
MSIMAMO...
Katika msimamo wa ligi yao
fiorentina amekonekana kuwa katika nafasi nzuri ukilinganisha na mpinzani wake ambaye yupo katika nafasi
katika msimamo fiorentina yupo nafasi nzuri kulinganisha na bolougna
usiache kushare hii kulike
pamoja na kucoment ili tujue wapi panahitaji marekebisho
published
by
mic daniel
0716366110
Comments
Post a Comment