Uhuni
kwa sasa ni kufanyiana uhuni tu
tizama hii alafu tukizungumzia wataalamu wa mitandao na kazi zao ni kuwa na ulinzi ili kuzuia kutokea kwa ishu kama hizi this is cyber crime
unajua taasisi kubwa ya kifedha kutumiwa logo yake tofauti na kazi wanazoziendesha wao ni kutafuta kupoteza wateja
sijajua ni nani wahusika hasa katika hili kutumia logo ya kampuni kufanya ishu za kutaka kujaribu kuwaibia raia ni kosa kubwa sana
na wahuni wapo kusapoti hili
ok tuachane na hiyo taasisi naona kama serikali imeruhusu wananchi wake waibiwe hivi nimefikiria tu why pesa ya nchi itumike kufanya scam huu ni uhuni ulioruhusiwa na taasisi husika ..
kwa kujua mimi ninavyojua fedha ni moja ya viwakilishi vya taifa fulani now dai kila mahali unakuta picha ya fedha imetumika kutapeli watu some time vijana wengi ni jobless huitaji fedha kukidhi mahitaji yao au mitaji wapoona picha hizo wana deal moja kwamoja ili wapate kumbe ni upotezaji wa muda tu
Ok vijana wa tanzania pesa siyo rahisi hivyo kila chenye thamani kina gharama watanzania tutumie nguvu akili na maarifa ili tutoboe no money online but its scarm na uwizi mtupu
michael danie
Comments
Post a Comment