Uhuni
kwa sasa ni kufanyiana uhuni tu tizama hii alafu tukizungumzia wataalamu wa mitandao na kazi zao ni kuwa na ulinzi ili kuzuia kutokea kwa ishu kama hizi this is cyber crime unajua taasisi kubwa ya kifedha kutumiwa logo yake tofauti na kazi wanazoziendesha wao ni kutafuta kupoteza wateja sijajua ni nani wahusika hasa katika hili kutumia logo ya kampuni kufanya ishu za kutaka kujaribu kuwaibia raia ni kosa kubwa sana na wahuni wapo kusapoti hili ok tuachane na hiyo taasisi naona kama serikali imeruhusu wananchi wake waibiwe hivi nimefikiria tu why pesa ya nchi itumike kufanya scam huu ni uhuni ulioruhusiwa na taasisi husika .. kwa kujua mimi ninavyojua fedha ni moja ya viwakilishi vya taifa fulani now dai kila mahali unakuta picha ya fedha imetumika kutapeli watu some time vijana wengi ni jobless huitaji fedha kukidhi mahitaji yao au mitaji wapoona picha hizo wana deal moja kwamoja ili wapate kumbe ni upotezaji wa muda tu O...