Posts

CUBRA 2

Image
 CUBRA 2 | Scott Adkins | Toleo Jipya 2025  ðŸ‘‰ Filamu zaidi: https://movies.apkclass.info/1097/  Kufuatia matukio ya awamu ya kwanza, CUBRA 2 inamfuata aliyekuwa wakala mashuhuri John Cubra (Scott Adkins), ambaye anajaribu kuishi bila kujulikana baada ya kufichua shirika hatari la uhalifu. Walakini, maisha yake ya zamani hayamwachi peke yake wakati adui wa zamani anatokea tena, na kumlazimisha kurudi kwenye vita.  Wakati kikundi cha wapiga risasi kinatumwa kumwinda, Cubra lazima atumie ujuzi wake wote wa kupigana ili kuishi na kulinda wapendwa wake. Njiani, anafichua njama kubwa zaidi ambayo inatishia usalama wa kimataifa.  Ikiwa na matukio ya kuvutia, mapigano makali ya ana kwa ana na kufukuza kwa adrenaline, CUBRA 2 inaahidi kuwa filamu ya kusisimua isiyoweza kupitwa mwaka wa 2025.

I Am Legend 2

Image
 ðŸŽ¬Mimi ni LEGEND 2  ðŸ‘‰ Filamu zaidi: https://movies.apkclass.info/102/ 🎬Mimi ni LEGEND 2  ðŸ‘‰ Filamu zaidi: https://movies.apkclass.info/102/  I Am Legend 2 (2025) ni mwendelezo wa kuvutia wa ulimwengu wa baada ya apocalyptic ambapo ubinadamu uko kwenye ukingo wa kutoweka.  Ikiongozwa na Francis Lawrence, filamu hiyo inaanza miaka mingi baada ya matukio ya filamu ya kwanza, kufuatia kunusurika kwa Robert Neville (iliyochezwa na Will Smith) ambaye alijitolea kila kitu katika mapambano ili kupata tiba ya virusi hatari vilivyoangamiza wanadamu wengi.  Katika muendelezo huu, hadithi ya Neville inaendelea, lakini kwa vitisho vipya, changamoto, na matumaini juu ya upeo wa macho.  Filamu inaanza na mtazamo mpya juu ya Anna (iliyochezwa na Sienna Miller), kijana aliyeokoka ambaye, baada ya kupata tiba ya Neville, sasa anaongoza kundi la wanadamu wenye kinga ambao wamepata kimbilio katika jiji la pekee.  Ulimwengu wa nje bado umetawaliwa na mabadiliko ya ...

https://youtu.be/6RYwZXj6E8c Save data in youtube while watching video internet

https://youtu.be/6RYwZXj6E8c Hiyo  https://www.canva.com/design/DAFRV7W4-sc/-VX20jmpwWStEIcCTkiC-g/view?utm_content=DAFRV7W4-sc&utm_campaign=share_your_design&utm_medium=link&utm_source=shareyourdesignpanel https://youtu.be/6RYwZXj6E8c
Image
​ Sio kila spishi ina uwezo wa kucheka. Sokwe wanaweza kucheka. Wanasayansi hata wameza kubaini sauti kama ya kucheka kutoka kwa panya kwa kuwatekenya. Lakini ni binadamu na nyani wengine ambao wanachukuliwa kuwa pekee wenye uwezo wa kujibu kitu wanachokiona kwa kucheka. Ingawa ni ishara ya kuwa na wakati mzuri wa zamani, kucheka vizuri ni mojawapo ya mambo magumu zaidi ambayo miili yetu hutoa. Hii ndio sababu. Yote huanzia kwenye ubongo Hatuchagui kucheka. Hata kama umelipa ili kutazama vichekesho kutoka kwa mcheshi unayempenda, kwa hakika tunacheza k amari. Ikiwa tutacheka kwa mzaha wakati wa onesho, sio hiari, ni kulingana na jinsi ubongo wetu huchakata kile tunachoona na kusikia. Ni vigumu sana kuigiza kucheka au kulazimisha kucheka - jaribu mwenyewe. Haisikiki kuwa ya kweli, sivyo?
​https://trc.taboola.com/newscorpau-aud-newscomau/log/3/click?pi=%2Fsport%2Fsports-life%2Fbody-building-legend-cedric-mcmillan-dead-at-age-44%2Fnews-story%2Fadece0497492e79073a64f3c0c8b03df&ri=97bcdb5080bfc153f0eca6cf2c8f75d4&sd=v2_e437132e643b4109519696d048f78b2f_9012f80d-8b61-43e8-ae36-629cf3a49e64-tuct90a6624_1649930185_1649930185_CAwQru9HGIjNgryCMCABKAMw3QE4pt0NQIqfEEjbhtgDUP___________wFYAGCvAWiu3KSVzo6_iu0BcAE&ui=9012f80d-8b61-43e8-ae36-629cf3a49e64-tuct90a6624&it=text&ii=~~V1~~1227579325638447304~~i3YaQPs4n_T3DeafP9L_hnqXs-wPqN9cHgoAXZt5XrnTxvAnL2wqac4MyzR7uD46gj3kUkbS3FhelBtnsiJV6MhkDZRZzzIqDobN6rWmCPA3hYz5D3PLat6nhIftiT1lwdxwdlxkeV_Mfb3eos_TQavImGhxk0e7psNAZxHJ9RIzBC8nr0z12hiSGPC9ejfh2TeNkRUrhhz01lXm8YTtLPJpwqBWpKlES65QO1bsxZL5FxGQ4xos3Z-VFt1Wcp2VjxfAtsj75Zm6PzSBS4yNyd3WkhT22z-2tGiQiFNttdM&pt=text&li=rbox-t2v&sig=6a0e3ec6200229680eb6b85bb3c56fd2393d9232d1da&redir=https%3A%2F%2Fy-jesus.com%2Flp%2F0-real-jesus-ttn%2F%3Futm_source%3Dtaboola%26u...

Akatwa mguu kisa mapenzi

Image
​#MsasaUpdate AKATWA MGUU KWA SABABU YA MAPENZI  Kutoka kata ya Madilu, Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Kijana aitwae Benard Mkolwe amepigwa na kuvunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa akiwa na Sarah Mgohole (18) nyumbani kwao ambako alimfuata kwa lengo la kufanya mapenzi ikiwa ni siku yao ya kwanza tangu waanze uhusiano wiki mbili zilizopita. Kijana huyo amekiri kuwa na uhusiano na Msichana huyo ambaye sio Mke wa Mtu na wala hasomi na kudai kuwa mapenzi yao yalikuwa ya kuwasiliana kwa simu pekee na yana muda wa wiki mbili toka wayaanzishe ambapo siku ya tukio hilo ilikuwa ni siku yao ya kwanza kukutana kwa lengo la kufanya mapenzi. "Waliofanya tukio ni Baba zake wadogo wa yule Msichana yule Msichana na sijawahi kufanya kitu chochote kile tulikuwa ni marafiki wa kuchati na ile siku alivoniita nahisi ndio ilikuwa siku ya kuelekea kwenye tendo lakini sikufanya kitu chochote" Benard Mkolwe Kwa sasa Mkolwe anatibiwa katika hospitali ya St. John's ambapo Mkuu wa wilaya ya Lude...

Uhuni

Image
​kwa sasa ni kufanyiana uhuni tu tizama hii alafu tukizungumzia wataalamu wa mitandao na kazi zao ni kuwa na ulinzi ili kuzuia kutokea kwa ishu kama hizi this is cyber crime      unajua taasisi kubwa ya kifedha kutumiwa logo yake tofauti na kazi wanazoziendesha wao ni kutafuta kupoteza wateja  sijajua ni nani wahusika hasa katika hili kutumia logo ya kampuni kufanya ishu za kutaka kujaribu kuwaibia raia ni kosa kubwa sana  na wahuni wapo kusapoti hili    ok tuachane na hiyo taasisi naona kama serikali imeruhusu wananchi wake waibiwe hivi nimefikiria tu why pesa ya nchi itumike kufanya scam huu ni uhuni ulioruhusiwa na taasisi husika ..   kwa kujua mimi ninavyojua fedha ni moja ya viwakilishi vya taifa fulani now dai kila mahali unakuta picha ya fedha imetumika kutapeli watu some time vijana wengi ni jobless huitaji fedha kukidhi mahitaji yao au mitaji wapoona picha hizo wana deal moja kwamoja ili wapate kumbe ni upotezaji wa muda tu    O...

Paaaaaap......!!! Mzigo huo hapo

Image
​mzigo mpya kutoka katika maganda yake kuuza odds zisizo eleweka sitaki  ofa hii inakuja kwa wewe kushare tu hii blog mic daniel mdadavuzi wa timu mbalimbali nafanya haya kwa utukufu wa Mungu i know what i did natumia akili na bando share hii watu wapate ya mboga ya jioni ukiweka dau nono ushindi mnono ukiliwa usinijue saana  mimi sichezi ukipewa ongeza na zako 0748366111

WEKA BIASHARA YAKO YA KIMTANDAO IWE YA KUVUTIA WEKA LOGO YA KUELEWEKA

Image
​ YAH.. Tunacreate logo za staili tofauti tofauti tunakuuzia kwa bri sawa na buree kabisa pia tunafanya kazi za kucreate posti za kuvutia zitakazofanya eitha blog yako au kazi yako kuwa ya kifanisi na kuvutia zaidi       contact... 0748366111 0621335336 email Dullade8@gmail.com mic daniel

Hot.... Mpya

Image
​ hii hapa imeletwa kwenu na mimi mic danie 0716366110 toa  galatasaray kunusuru pesa yako nimemaliza like share

Uhakika 100%

Image
​BANDO LAKO PESA YAKO Unaona hii imepitia kwa madaktari wote wa kubeti ndiyo ikaja kwako   kama ilivyo fanya hivyo hivyo weka hata milioni usiwe mvivu kunifollow huwa naumiza kichwa kweli  fanya hivi follow page follow link kama una jambo la ziada ushauri  maoni mick daniel 0716366110 0748366111

Leeds vs Watford Leo. 13.3.2022

Image
​LEED VS NORWICH game inaisha droo    0..0     au  leeds kushinda  matokeo ya timu hizi mbili yamekua mabovu katika msimu huu wote LEEDS.. tuanze kuitizama leeds na mechi ilizozicheza na matokeo yake katikamsimu huu Tizama mechi za leeds hapo chini leeds imekuwa na matokeo yasiyoridhisha saana ila katika mechi ya leo anakutana na timu isiyokuwa na matokeo mazuri pia hivyo tunaipa kipa umbele leeds katika mechi ya leo NORWICH .... katika msimu huu pia norwich haikuwa na matokeo mazuri pia kulinganisha na mpinzani wake kwa leo hapo chini ni mechi na matokeo ya Norwich kwa msimu huu tizama  KICHWA KWA KICHWA H2H Katika matokeo ya makutano ya timu hizi mara nyingi leeds ameonekana kuwa mmbabe mbele ya norwich  matokeo yao ya h2h haya hapo juu MSIMAMO K atika msimamo  leeds anaonekana kuwa katika nafasi nzuri ki mchezo ile siyo nzuri kwa ligi inavyoenda na matokeo yake pia norwich ni hiyo pia nafasi yake ni mbaya zaidi ukilinganisha na leeds ...

Prediction Today13/3/2022

Image
FIORENTINA VS BOLOGNA ushindi....fiorentina predidton zinaonyesha kama ifuatavyo FIORENTINA kuna mechi alizocheza fiorentina na timu nyingine matokeo yalikuwa hivi tunaona katika record fiorentina ameshina mechi zake mbili za hivi karibuni ya mwisho kabisa ameshinda akiwa ugenini dhidi ya spezia BOLOGNA mechi za bolougna zilikuwa kama ifuatavyo ... pia bologna hakuwa na matokeo mazuuri sana tukiachilia mbali yale ya tar 6 .03.2022 dhidi ya spezia alipomfunga aliwa yeye yupo nyumbani H2H kichwa kwa kichwa imeonekana fiorentina amekuwa namatokeo mazuri zaidi kila wakutanapo na bologna kichwa kwa kichwa tizama hapo chini MSIMAMO... Katika msimamo wa ligi yao fiorentina amekonekana kuwa katika nafasi nzuri ukilinganisha na mpinzani wake   ambaye yupo katika nafasi katika msimamo fiorentina yupo nafasi nzuri kulinganisha na bolougna usiache kushare hii kulike pamoja na kucoment ili tujue wapi panahitaji marekebisho  published  by  mic daniel 0716366110

Enjoy addAduiotoVideo1640703132159

Image

Real fact

 https://www.facebook.com/groups/wanyabiofficial/permalink/2703536779942852/

Dr. prediction

  .win....win today..... Hizi hapa za moto leo mtonyo nje nje... England Barnsley vs westbrom    (×2)........ Italy Selestina vs inter milan    (2)...... Germany Bayern munich vs wolfburg (Over 2.5) S. Africa Mamelodi sandown vs orlando pirate    (1×).....   Nyongeza Geita gold vs Ruvu   (×)..... Weka laki....